Psalms 49:7

7 aHakuna mwanadamu awaye yote
awezaye kuukomboa uhai wa mwingine,
au kumpa Mungu fidia kwa ajili yake.
Copyright information for SwhNEN